Numbers 26:54 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila kubwa litapewa sehemu yao kubwa na dogo litapewa sehemu yao ndogo. Kila kabila litapewa urithi wake kulingana na idadi ya watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kundi kubwa zaidi lipe urithi mkubwa zaidi, na kundi dogo zaidi lipewe urithi mdogo zaidi; kila kundi litapokea urithi wake kulingana na hesabu ya wale walioorodheshwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao waliozidi hesabu yao utawapa urithi zaidi, na hao waliopunguka hesabu yao, utawapa urithi kama upungufu wao; kila mtu kama watu wake walivyohesabiwa, ndivyo atakavyopewa urithi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila kubwa litapewa sehemu yao kubwa na dogo litapewa sehemu yao ndogo. Kila kabila litapewa urithi wake kulingana na idadi ya watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kundi kubwa zaidi lipe urithi mkubwa zaidi, na kundi dogo zaidi lipewe urithi mdogo zaidi; kila kundi litapokea urithi wake kulingana na hesabu ya wale walioorodheshwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kundi kubwa zaidi lipe urithi mkubwa zaidi, na kundi dogo zaidi lipewe urithi mdogo zaidi; kila kundi litapokea urithi wake kulingana na hesabu ya wale walioorodheshwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao waliozidi hesabu yao utawapa urithi zaidi, na hao waliopungua hesabu yao, utawapa urithi kama upungufu wao; kila mtu kama watu wake walivyohesabiwa, ndivyo atakavyopewa urithi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila kubwa litapewa sehemu yao kubwa na dogo litapewa sehemu yao ndogo. Kila kabila litapewa urithi wake kulingana na idadi ya watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio wengi uwagawie fungu kubwa zaidi kuwa lao, nao walio wachache uwagawie fungu lililo dogo kidogo kuwa lao; kila shina sharti lipate fungu lake kwa hesabu yao waliokaguliwa kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao waliozidi hesabu yao utawapa urithi zaidi, na hao waliopunguka hesabu yao, utawapa urithi kama upungufu wao; kila mtu kama watu wake walivyohesabiwa, ndivyo atakavyopewa urithi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kabila kubwa litapewa sehemu yao kubwa na dogo litapewa sehemu yao ndogo. Kila kabila litapewa urizi wake kulingana na hesabu ya watu wake.