Numbers 26:58 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pamoja na jamaa za Libni, Hebroni, Mahli, Mushi na Kora. Kohathi alikuwa baba yake Amramu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizi pia zilikuwa koo za Walawi: ukoo wa Walibni; ukoo wa Wahebroni; ukoo wa Wamahli; ukoo wa Wamushi; ukoo wa wana wa Kora. (Kohathi alikuwa baba aliyemzaa Amramu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizi ndizo jamaa za Lawi; jamaa ya Walibni, na jamaa ya Wahebroni, na jamaa ya Wamala, na jamaa ya Wamushi jamaa ya Wakora. Na Kohathi alimzaa Amramu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pamoja na jamaa za Libni, Hebroni, Mahli, Mushi na Kora. Kohathi alikuwa baba yake Amramu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi pia zilikuwa koo za Walawi: ukoo wa Walibni; ukoo wa Wahebroni; ukoo wa Wamatili; ukoo wa Wamushi; ukoo wa Wakora. (Kohathi alikuwa baba aliyemzaa Amramu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi pia zilikuwa koo za Walawi: ukoo wa Walibni; ukoo wa Wahebroni; ukoo wa Wamahli; ukoo wa Wamushi; ukoo wa wana wa Kora. (Kohathi alikuwa baba aliyemzaa Amramu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hizi ndizo jamaa za Lawi; jamaa ya Walibni, na jamaa ya Wahebroni, na jamaa ya Wamala, na jamaa ya Wamushi jamaa ya Wakora. Na Kohathi alimzaa Amramu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pamoja na jamaa za Libni, Hebroni, Mahli, Mushi na Kora. Kohathi alikuwa baba yake Amramu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo ndugu zao Walawi: Ndugu zao Walibuni, ndugu zao Waheburoni, ndugu zao Wamahali, ndugu zao Wamusi, ndugu zao Wakora. Naye Kehati alimzaa Amuramu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizi ndizo jamaa za Lawi; jamaa ya Walibni, na jamaa ya Wahebroni, na jamaa ya Wamala, na jamaa ya Wamushi jamaa ya Wakora. Na Kohathi alimzaa Amramu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pamoja na jamaa za Libini, Hebroni, Mali, Musi na Kora. Kohati alikuwa baba ya Amuramu.