Numbers 26:59 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkewe Amramu aliitwa Yokebedi binti yake Lawi, aliyezaliwa Misri. Huyu alimzalia Amramu watoto wawili wa kiume, Aroni na Mose, na binti mmoja, Miriamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
jina la mke wa Amramu ni Yokebedi, naye pia alikuwa mzao wa Lawi, ambaye alizaliwa kwa Walawi nchini Misri. Alimzalia Amramu: Haruni, Musa na dada yao Miriamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jina la mke wa Amramu aliitwa Yokebedi, binti wa Lawi, ambaye alizaliwa kwake Lawi huko Misri; na huyo Yokebedi akamzalia Amramu Haruni, na Musa, na Miriamu umbu lao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkewe Amramu aliitwa Yokebedi binti yake Lawi, aliyezaliwa Misri. Huyu alimzalia Amramu watoto wawili wa kiume, Aroni na Mose, na binti mmoja, Miriamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
jina la mke wa Amramu ni Yokobedi, naye pia alikuwa mzao wa Lawi, ambaye alizaliwa kwa Walawi nchini Misri. Alimzalia Amramu: Aroni, Mose na dada yao Miriamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
jina la mke wa Amramu ni Yokebedi, naye pia alikuwa mzao wa Lawi, ambaye alizaliwa kwa Walawi nchini Misri. Alimzalia Amramu: Haruni, Musa na dada yao Miriamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jina la mke wa Amramu aliitwa Yokebedi, binti wa Lawi, ambaye alizaliwa kwake Lawi huko Misri; na huyo Yokebedi akamzalia Amramu Haruni, na Musa, na Miriamu dada yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkewe Amramu aliitwa Yokebedi binti yake Lawi, aliyezaliwa Misri. Huyu alimzalia Amramu watoto wawili wa kiume, Aroni na Mose, na binti mmoja, Miriamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo jina lake mkewe Amuramu alikuwa Yokebedi, binti Lawi, huyu Lawi aliyezaliwa huko Misri, naye akamzalia Amuramu Haroni na Mose na umbu lao Miriamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jina la mke wa Amramu aliitwa Yokebedi, binti wa Lawi, ambaye alizaliwa kwake Lawi huko Misri; na huyo Yokebedi akamzalia Amramu Haruni, na Musa, na Miriamu umbu lao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muke wa Amuramu aliitwa Yokebedi binti ya Lawi, aliyezaliwa Misri. Huyu alimuzalia Amuramu watoto wawili wanaume, Haruni na Musa, na binti mumoja, Miriamu.