Numbers 26:60 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aroni alikuwa na watoto wa kiume wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haruni alikuwa baba yake Nadabu na Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kwake Haruni walizaliwa hawa, Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aroni alikuwa na watoto wa kiume wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aroni alikuwa baba yake Nadabu na Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haruni alikuwa baba yake Nadabu na Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kwake Haruni walizaliwa hawa, Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aroni alikuwa na watoto wa kiume wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Haroni aliwazaa: Nadabu na Abihu na Elazari na Itamari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kwake Haruni walizaliwa hawa, Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haruni alikuwa na watoto wanaume wane, Nadabu, Abihu, Eleazari na Itamari.