Numbers 26:61 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nadabu na Abihu walikufa walipomtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya moto usiofaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Nadabu na Abihu walikufa wakati walitoa sadaka mbele za Mwenyezi Mungu kwa moto usioruhusiwa.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Nadabu na Abihu wakafa, hapo waliposongeza moto wa kigeni mbele za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nadabu na Abihu walikufa walipomtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya moto usiofaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Nadabu na Abihu walikufa wakati walipotoa sadaka mbele za BWANA kwa moto usioruhusiwa.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Nadabu na Abihu walikufa wakati walitoa sadaka mbele za bwana kwa moto usioruhusiwa.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Nadabu na Abihu wakafa, hapo waliposongeza moto wa kigeni mbele za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nadabu na Abihu walikufa walipomtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya moto usiofaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Nadabu na Abihu walikufa walipomtolea Bwana ng'ombe ya tambiko ya kuteketezwa isiyopasa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Nadabu na Abihu wakafa, hapo waliposongeza moto wa kigeni mbele za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nadabu na Abihu walikufa walipomutolea Yawe sadaka ya moto usiofaa.