Numbers 27:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na ikiwa hana ndugu wa kiume, basi urithi wake utawaendea baba zake, wakubwa na wadogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa hana ndugu wa kiume toa urithi wake kwa ndugu za baba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ikiwa hana ndugu, mtawapa ndugu za babaye huo urithi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na ikiwa hana ndugu wa kiume, basi urithi wake utawaendea baba zake, wakubwa na wadogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa hana ndugu wa kiume toa urithi wake kwa ndugu za baba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa hana ndugu wa kiume toa urithi wake kwa ndugu za baba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ikiwa hana ndugu, mtawapa ndugu za babaye huo urithi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na ikiwa hana ndugu wa kiume, basi urithi wake utawaendea baba zake, wakubwa na wadogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama hata ndugu hakuwa nao, mtawapa ndugu za baba yake fungu lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ikiwa hana ndugu, mtawapa ndugu za babaye huo urithi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na ikiwa hana ndugu mwanaume, basi urizi wake utawaendea baba zake wakubwa na wadogo.