Numbers 27:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukisha iona, nawe pia utafariki kama ndugu yako Aroni alivyofariki,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kuiona, wewe pia utakusanywa pamoja na watu wako kama ndugu yako Haruni alivyokusanywa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ukiisha kuiona, wewe nawe utakusanyika pamoja na baba zako, kama Haruni ndugu yako alivyokusanyika;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukisha iona, nawe pia utafariki kama ndugu yako Aroni alivyofariki,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kuiona, wewe pia utakusanywa pamoja na watu wako kama ndugu yako Aroni alivyokusanywa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kuiona, wewe pia utakusanywa pamoja na watu wako kama ndugu yako Haruni alivyokusanywa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ukiisha kuiona, wewe nawe utakusanyika pamoja na baba zako, kama Haruni ndugu yako alivyokusanyika;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukisha iona, nawe pia utafariki kama ndugu yako Aroni alivyofariki,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukiisha kuiona utachukuliwa nawe kwenda kwao walio ukoo wako, kama kaka yako Haroni alivyochukuliwa naye kwenda huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ukiisha kuiona, wewe nawe utakusanyika pamoja na baba zako, kama Haruni ndugu yako alivyokusanyika;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukisha kuiona, utakufa na kukutana na wazee wako, kama vile ndugu yako Haruni alivyokutana nao,