Numbers 27:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu uliye asili ya uhai wote, nakuomba umteue mtu wa kuisimamia jumuiya hii,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwenyezi Mungu, Mungu wa roho zote za wanadamu, na amteue mtu juu ya jumuiya hii
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, Mungu wa roho za wenye mwili wote, na aweke mtu juu ya mkutano,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu uliye asili ya uhai wote, nakuomba umteue mtu wa kuisimamia jumuiya hii,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“BWANA, Mungu wa roho zote za wanadamu, na amteue mtu juu ya jumuiya hii
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ bwana, Mungu wa roho zote za wanadamu, na amteue mtu juu ya jumuiya hii
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, Mungu wa roho za watu wote, na aweke mtu juu ya kusanyiko,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu uliye asili ya uhai wote, nakuomba umteue mtu wa kuisimamia jumuiya hii,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana wangu aliye mwenye roho zao wote walio wenye miili na aweke mtu kuwa mkuu wa mkutano huu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, Mungu wa roho za wenye mwili wote, na aweke mtu juu ya mkutano,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, Mungu unayekuwa asili ya uzima wote, ninakuomba umuchague mutu wa kusimamia watu hawa,