Numbers 27:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ambaye atawatangulia na kuwaongoza katika shughuli zao zote, ili wasije wakawa kama kondoo wasio na mchungaji.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili atoke na kuingia mbele yao, atakayewaongoza katika kutoka kwao na kuingia kwao, ili watu wa Mwenyezi Mungu wasiwe kama kondoo wasio na mchungaji.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
atakayetoka mbele yao, na kuingia mbele yao; atakayewaongoza watokapo, na kuwaleta ndani; ili mkutano wa Bwana wasiwe kama kondoo wasio na mchungaji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ambaye atawatangulia na kuwaongoza katika shughuli zao zote, ili wasije wakawa kama kondoo wasio na mchungaji.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili atoke na kuingia mbele yao, atakayewaongoza katika kutoka kwao na kuingia kwao, ili watu wa BWANA wasiwe kama kondoo wasio na mchungaji.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili atoke na kuingia mbele yao, atakayewaongoza katika kutoka kwao na kuingia kwao, ili watu wa bwana wasiwe kama kondoo wasio na mchungaji.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
atakayetoka mbele yao, na kuingia mbele yao; atakayewaongoza watokapo, na kuwaleta ndani; ili watu wa BWANA wasiwe kama kondoo wasio na mchungaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ambaye atawatangulia na kuwaongoza katika shughuli zao zote, ili wasije wakawa kama kondoo wasio na mchungaji.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
atakayewatangulia kwa kutoka na kuingia kwake, atakayewaongoza wao, wapate kutoka na kuingia tena, watu wa mkutano huu wa Bwana wasiwe kama kondoo wasio na mchungaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
atakayetoka mbele yao, na kuingia mbele yao; atakayewaongoza watokapo, na kuwaleta ndani; ili mkutano wa BWANA wasiwe kama kondoo wasio na mchungaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ambaye atawatangulia na kuwaongoza katika shuguli zao zote, kusudi wasikuwe kama kondoo wasiokuwa na muchungaji.