Numbers 27:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Alimtwaa Yoshua na kumsimamisha mbele ya kuhani Eleazari na jumuiya yote ya Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akafanya kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza. Akamtwaa Yoshua na kumsimamisha mbele ya kuhani Eleazari na kusanyiko lote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akafanya kama Bwana alivyomwamuru; akamtwaa Yoshua, akamweka mbele ya Eleazari kuhani, na mbele ya mkutano wote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Alimtwaa Yoshua na kumsimamisha mbele ya kuhani Eleazari na jumuiya yote ya Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akafanya kama BWANA alivyomwagiza. Akamtwaa Yoshua na kumsimamisha mbele ya kuhani Eleazari na kusanyiko lote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akafanya kama bwana alivyomwagiza. Akamtwaa Yoshua na kumsimamisha mbele ya kuhani Eleazari na kusanyiko lote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akafanya kama BWANA alivyomwamuru; akamtwaa Yoshua, akamweka mbele ya Eleazari kuhani, na mbele ya jumuiya yote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Alimtwaa Yoshua na kumsimamisha mbele ya kuhani Eleazari na jumuiya yote ya Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akafanya, kama Bwana alivyomwagiza: akamchukua Yosua, akamsimamisha mbele ya mtambikaji Elazari na mbele ya mkutano wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akafanya kama BWANA alivyomwamuru; akamtwaa Yoshua, akamweka mbele ya Eleazari kuhani, na mbele ya mkutano wote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akafanya kama vile alivyoamriwa na Yawe. Akamutwaa Yoshua na kumusimamisha mbele ya kuhani Eleazari na Waisraeli wote.