Numbers 27:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Baba yetu alifia jangwani nyikani na bila mtoto yeyote wa kiume.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Baba yetu alikufa jangwani. Hakuwa miongoni mwa wafuasi wa Kora, ambao walifungamana pamoja dhidi ya Mwenyezi Mungu, lakini alikufa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe na hakuacha wana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Babaetu alikufa nyikani, naye hakuwamo katika mkutano wa hao waliojikutanisha kinyume cha Bwana katika mkutano wa Kora; lakini akafa katika dhambi zake mwenyewe; naye alikuwa hana wana wa kiume.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Baba yetu alifia jangwani nyikani na bila mtoto yeyote wa kiume.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Baba yetu alikufa jangwani. Hakuwa miongoni mwa wafuasi wa Kora, ambao walifungamana pamoja dhidi ya BWANA, lakini alikufa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe na hakuacha wana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Baba yetu alikufa jangwani. Hakuwa miongoni mwa wafuasi wa Kora, ambao walifungamana pamoja dhidi ya bwana, lakini alikufa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe na hakuacha wana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baba yetu alikufa nyikani, naye hakuwamo katika mkutano wa hao waliojikutanisha kinyume cha BWANA katika mkutano wa Kora; lakini akafa katika dhambi zake mwenyewe; naye alikuwa hana wana wa kiume.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Baba yetu alifia jangwani nyikani na bila mtoto yeyote wa kiume.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baba yetu alikufa nyikani, naye hakuwa katika mkutano wao waliofanya shauri la kumpingia Bwana katika mkutano wao Wakora, ila alikufa kwa ukosaji wake yeye, lakini hakuwa na wana wa kiume.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Babaetu alikufa nyikani, naye hakuwamo katika mkutano wa hao waliojikutanisha kinyume cha BWANA katika mkutano wa Kora; lakini akafa katika dhambi zake mwenyewe; naye alikuwa hana wana wa kiume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baba yetu alikufia katika jangwa na bila mutoto yeyote mwanaume. Yeye hakukuwa kati ya wafuasi wa Kora waliokusanyika mbele ya Yawe, lakini alikufa kutokana na zambi yake mwenyewe. Hakukuwa na mutoto mwanaume.