Numbers 27:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akaleta lalamiko lao mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Musa akaleta shauri lao mbele za Mwenyezi Mungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akaleta neno lao mbele ya Bwana
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akaleta lalamiko lao mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Mose akalileta shauri lao mbele za BWANA,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Musa akalileta shauri lao mbele za bwana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akaleta neno lao mbele za BWANA
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akaleta lalamiko lao mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akalitokeza hilo shauri lao mbele ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akaleta neno lao mbele ya BWANA
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akaleta malalamiko yao mbele ya Yawe.