Numbers 27:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wanachosema binti za Selofehadi ni kweli; wape urithi pamoja na ndugu za baba yao, wachukue urithi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wanachosema binti za Selofehadi ni sawa. Ni lazima kwa hakika uwape milki kama urithi miongoni mwa ndugu za baba yao, na kubadili urithi wa baba yao uwe wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao binti za Selofehadi wananena lililo haki; kweli utawapa milki ya urithi pamoja na ndugu za baba yao; nawe utawapa urithi wa baba yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wanachosema binti za Selofehadi ni kweli; wape urithi pamoja na ndugu za baba yao, wachukue urithi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wanachosema binti za Selofehadi ni sawa, ni lazima kwa hakika uwape milki kama urithi miongoni mwa ndugu za baba yao, na kubadili urithi wa baba yao uwe wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wanachosema binti za Selofehadi ni sawa. Ni lazima kwa hakika uwape milki kama urithi miongoni mwa ndugu za baba yao, na kubadili urithi wa baba yao uwe wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao binti za Selofehadi wananena lililo haki; kweli utawapa milki ya urithi pamoja na ndugu za baba yao; nawe utawapa urithi wa baba yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wanachosema binti za Selofehadi ni kweli; wape urithi pamoja na ndugu za baba yao, wachukue urithi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya, wana wa kike wa Selofuhadi waliyoyasema, ndiyo ya kweli. Uwape katikati ya ndugu za baba yao fungu, walichukue, liwe lao, ukiagiza, fungu la baba yao walipate wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao binti za Selofehadi wananena lililo haki; kweli utawapa milki ya urithi pamoja na ndugu za baba yao; nawe utawapa urithi wa baba yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanachosema wabinti za Selofehadi ni kweli; uwape urizi pamoja na wandugu za baba yao, watwae urizi wake.