Numbers 27:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha waambie Waisraeli kwamba mtu yeyote akifa bila kuacha mtoto wa kiume, urithi wake atapewa binti yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambie Waisraeli, ‘Ikiwa mtu atakufa naye hakuacha mwana, utampa binti yake urithi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha utanena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Mtu akifa, naye hana mwana wa kiume, ndipo utampa binti yake urithi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha waambie Waisraeli kwamba mtu yeyote akifa bila kuacha mtoto wa kiume, urithi wake atapewa binti yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waambie Waisraeli, ‘Ikiwa mtu atakufa naye hakuacha mwana, utampa binti yake urithi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waambie Waisraeli, ‘Ikiwa mtu atakufa naye hakuacha mwana, utampa binti yake urithi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha utanena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Mtu akifa, naye hana mwana wa kiume, ndipo binti yake atapewa urithi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha waambie Waisraeli kwamba mtu yeyote akifa bila kuacha mtoto wa kiume, urithi wake atapewa binti yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Isiraeli waambie kwamba: Mtu akifa pasipo kuwa na mwana wa kiume, fungu lake huyu sharti mmwachie mwanawe wa kike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha utanena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Mtu akifa, naye hana mwana wa kiume, ndipo utampa binti yake urithi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha uwaambie Waisraeli kwamba mutu yeyote akikufa bila kuacha mutoto mwanaume, urizi wake utapewa kwa binti yake.