Numbers 28:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sadaka hii ya kuteketezwa itatolewa kila siku ya Sabato licha ya ile sadaka ya kila siku pamoja na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ni sadaka ya kuteketezwa itakayotolewa kwa ajili ya kila Sabato, pamoja na sadaka ya kawaida ya kuteketezwa na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hii ndiyo sadaka ya kuteketezwa ya kila Sabato, zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote, pamoja na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sadaka hii ya kuteketezwa itatolewa kila siku ya Sabato licha ya ile sadaka ya kila siku pamoja na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ni sadaka ya kuteketezwa itakayotolewa kwa ajili ya kila Sabato, pamoja na sadaka ya kawaida ya kuteketezwa na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ni sadaka ya kuteketezwa itakayotolewa kwa ajili ya kila Sabato, pamoja na sadaka ya kawaida ya kuteketezwa na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hii ndiyo sadaka ya kuteketezwa ya kila Sabato, zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya siku zote, pamoja na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sadaka hii ya kuteketezwa itatolewa kila siku ya Sabato licha ya ile sadaka ya kila siku pamoja na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo ng'ombe za tambiko za kila siku ya mapumziko, mtakazozitoa pamoja na ng'ombe ya tambiko ya kila siku na kinywaji chake cha tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hii ndiyo sadaka ya kuteketezwa ya kila Sabato, zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote, pamoja na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sadaka hii ya kuteketezwa itatolewa kila siku ya Sabato zaidi ya ile sadaka ya kila siku pamoja na sadaka yake ya kinywaji.