Numbers 28:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza ni Pasaka ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Katika siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza, itafanyika Pasaka ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, ni pasaka ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza ni Pasaka ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Katika siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza itafanyika Pasaka ya BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Katika siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza, itafanyika Pasaka ya bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, ni Pasaka ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza ni Pasaka ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza ni Pasaka ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, ni pasaka ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya kumi na ine ya mwezi wa kwanza ni Pasaka ya Yawe.