Numbers 28:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya kumi na tano ya mwezi huohuo ni sikukuu. Kwa muda wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ya kumi na tano ya mwezi huo itakuwa sikukuu; kwa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya kumi na tano ya mwezi huo patakuwa na sikukuu; mkate usiotiwa chachu utaliwa muda wa siku saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya kumi na tano ya mwezi huohuo ni sikukuu. Kwa muda wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ya kumi na tano ya mwezi huo itakuwa sikukuu; kwa siku saba mtakula mkate usiotiwa chachu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ya kumi na tano ya mwezi huo itakuwa sikukuu; kwa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya kumi na tano ya mwezi huo patakuwa na sikukuu; mkate usiotiwa chachu utaliwa muda wa siku saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya kumi na tano ya mwezi huohuo ni sikukuu. Kwa muda wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya kumi na tano ya mwezi huo na mle sikukuu; ndipo iliwe mikate isiyochachwa siku saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya kumi na tano ya mwezi huo patakuwa na sikukuu; mkate usiotiwa chachu utaliwa muda wa siku saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya kumi na tano ya mwezi huohuo ni sikukuu. Kwa muda wa siku saba mutakula mikate isiyotiwa chachu.