Numbers 28:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika siku ya kwanza kutakuwa na mkutano mtakatifu. Siku hiyo hamtafanya kazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ya kwanza mtakuwa na kusanyiko takatifu, msifanye kazi za kawaida.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya kwanza patakuwa na kusanyiko takatifu; hamtafanya kazi yo yote ya utumishi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika siku ya kwanza kutakuwa na mkutano mtakatifu. Siku hiyo hamtafanya kazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ya kwanza mwe na kusanyiko takatifu, msifanye kazi za kawaida.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ya kwanza mtakuwa na kusanyiko takatifu, msifanye kazi za kawaida.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya kwanza patakuwa na kusanyiko takatifu; hamtafanya kazi yoyote ya utumishi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika siku ya kwanza kutakuwa na mkutano mtakatifu. Siku hiyo hamtafanya kazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya kwanza na mkutanie Patakatifu, msifanye kazi yo yote ya utumishi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya kwanza patakuwa na kusanyiko takatifu; hamtafanya kazi yo yote ya utumishi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku ya kwanza kutakuwa mukutano mutakatifu. Siku hiyo hamutafanya kazi.