Numbers 28:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtatoa pia beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi ili kuwafanyia upatanisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia mtoe beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi ambaye atafanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena mtasongeza mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtatoa pia beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi ili kuwafanyia upatanisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia mtoe beberu mmoja kama sadaka ya dhambi ambaye atafanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia mtoe beberu mmoja kama sadaka ya dhambi ambaye atafanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena mtasongeza mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtatoa pia beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi ili kuwafanyia upatanisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena na mtoe dume moja la mbuzi kuwa ng'ombe ya tambiko ya weuo kuwapatia ninyi upozi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena mtasongeza mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutatoa vilevile beberu mumoja kuwa sadaka kwa ajili ya zambi kwa kuwafanyia upatanisho.