Numbers 28:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waambie kwamba sadaka watakayonitolea ya kuteketezwa kwa moto, itakuwa ifuatavyo: Wanakondoo wawili wa mwaka mmoja wasio na dosari yoyote, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa ya kila siku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waambie: ‘Hii ni sadaka ya kuteketezwa kwa moto mnayomtolea Mwenyezi Mungu: wana-kondoo wawili wa mwaka mmoja wasio na dosari, kuwa sadaka ya kawaida ya kuteketezwa kila siku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utawaambia, Hii ndiyo sadaka isongezwayo kwa moto mtakayomsongezea Bwana; wana-kondoo waume wa mwaka wa kwanza wakamilifu, wawili kila siku, wawe sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waambie kwamba sadaka watakayonitolea ya kuteketezwa kwa moto, itakuwa ifuatavyo: wanakondoo wawili wa mwaka mmoja wasio na dosari yoyote, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa ya kila siku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waambie: ‘Hii ni sadaka ya kuteketezwa kwa moto mnayomtolea BWANA: wana kondoo wawili wa mwaka mmoja wasio na dosari, kama sadaka ya kawaida ya kuteketezwa kila siku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waambie: ‘Hii ni sadaka ya kuteketezwa kwa moto mnayomtolea bwana: wana-kondoo wawili wa mwaka mmoja wasio na dosari, kama sadaka ya kawaida ya kuteketezwa kila siku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utawaambia, Hii ndiyo sadaka isongezwayo kwa moto mtakayomsogezea BWANA; wana-kondoo dume wawili wa mwaka mmoja wakamilifu, kila siku, wawe sadaka ya kuteketezwa ya siku zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waambie kwamba sadaka watakayonitolea ya kuteketezwa kwa moto, itakuwa ifuatavyo: Wanakondoo wawili wa mwaka mmoja wasio na dosari yoyote, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa ya kila siku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uwaambie: Nazo hizi ndizo ng'ombe za tambiko za kuteketezwa, mtakazomtolea Bwana: Wana kondoo wa mwaka mmoja wasio na kilema, pasipo kukoma kila siku wawili kuwa ng'ombe za tambiko za kuteketezwa nzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utawaambia, Hii ndiyo sadaka isongezwayo kwa moto mtakayomsongezea BWANA; wana-kondoo waume wa mwaka wa kwanza wakamilifu, wawili kila siku, wawe sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie kwamba sadaka watakayonitolea ya kuteketezwa kwa moto, itakuwa hii: wana-kondoo wawili wa mwaka mumoja wasiokuwa na kilema chochote, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa ya kila siku.