Numbers 29:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtatoa pia sadaka ya nafaka na sadaka za vinywaji pamoja na wale fahali, kondoo na wanakondoo, kulingana na idadi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pamoja na mafahali, kondoo dume, na wana-kondoo, andaeni sadaka zao za nafaka na sadaka za vinywaji, kulingana na idadi iliyoainishwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
pamoja na sadaka yake ya unga, na sadaka zake za vinywaji kwa hao ng'ombe, na kwa hao kondoo, na kwa wale wana-kondoo, kama hesabu yao ilivyo, kwa kuandama hiyo amri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtatoa pia sadaka ya nafaka na sadaka za vinywaji pamoja na wale fahali, kondoo na wanakondoo, kulingana na idadi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pamoja na mafahali, kondoo waume, na wana-kondoo, andaeni sadaka zao za nafaka na sadaka za vinywaji, kulingana na idadi iliyoainishwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pamoja na mafahali, kondoo dume, na wana-kondoo, andaeni sadaka zao za nafaka na sadaka za vinywaji, kulingana na idadi iliyoainishwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
pamoja na sadaka yake ya unga, na sadaka zake za vinywaji kwa hao ng'ombe, na kwa hao kondoo, na kwa wale wana-kondoo kama idadi yao ilivyo, kulingana na amri hiyo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtatoa pia sadaka ya nafaka na sadaka za vinywaji pamoja na wale fahali, kondoo na wanakondoo, kulingana na idadi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vilaji na vinywaji vyao vya tambiko vya madume ya ng'ombe navyo vya madume ya kondoo navyo vya wana kondoo na mvitoe kwa hesabu yao kama desturi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
pamoja na sadaka yake ya unga, na sadaka zake za vinywaji kwa hao ng’ombe, na kwa hao kondoo, na kwa wale wana-kondoo, kama hesabu yao ilivyo, kwa kuandama hiyo amri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutatoa vilevile sadaka ya vyakula na sadaka za vinywaji pamoja na wale wana-ngombe dume, kondoo na wana-kondoo, kulingana na hesabu yao, kama vile inavyoagizwa.