Numbers 29:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilevile mtatoa beberu mmoja kwa sadaka ya kuondoa dhambi, licha ya ile sadaka ya kawaida ya kuteketezwa pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ongeza beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya kawaida ya sadaka ya kuteketezwa na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi; zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote, na sadaka yake ya unga, na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilevile mtatoa beberu mmoja kwa sadaka ya kuondoa dhambi, licha ya ile sadaka ya kawaida ya kuteketezwa pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Weka beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya kawaida ya sadaka ya kuteketezwa, na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka zao za vinywaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Weka beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya kawaida ya sadaka ya kuteketezwa, na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka zao za vinywaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi; zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya siku zote, na sadaka yake ya unga, na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilevile mtatoa beberu mmoja kwa sadaka ya kuondoa dhambi, licha ya ile sadaka ya kawaida ya kuteketezwa pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena na mtoe dume moja la mbuzi kuwa ng'ombe ya tambiko ya weuo pamoja na ng'ombe ya tambik ya kuteketezwa nzima ya kila siku, tena na mvitoe navyo vilaji na vinywaji vyake vya tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi; zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote, na sadaka yake ya unga, na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile mutatoa beberu mumoja kuwa sadaka kwa ajili ya zambi, zaidi ya ile sadaka ya kawaida ya kuteketezwa pamoja na sadaka yake ya vyakula na sadaka yake ya kinywaji.