Numbers 29:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku ya nne mtatoa: Fahali kumi, kondoo madume wawili, wanakondoo kumi na wanne, wasio na dosari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Katika siku ya nne, andaeni mafahali wachanga kumi na wawili, kondoo dume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena siku ya nne mtasongeza ng'ombe waume kumi, na kondoo waume wawili, na wana-kondoo waume wa mwaka wa kwanza wakamilifu kumi na wanne;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku ya nne mtatoa: fahali kumi, kondoo madume wawili, wanakondoo kumi na wanne, wasio na dosari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Katika siku ya nne andaeni mafahali wachanga kumi na wawili, kondoo waume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Katika siku ya nne andaeni mafahali wachanga kumi na wawili, kondoo dume wawili, na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena siku ya nne mtasongeza ng'ombe dume kumi, na kondoo dume wawili, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja wasio na dosari kumi na wanne;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siku ya nne mtatoa: Fahali kumi, kondoo madume wawili, wanakondoo kumi na wanne, wasio na dosari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya nne na mtoe madume kumi ya ng'ombe na madume mawili ya kondoo na wana kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja wasio na kilema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena siku ya nne mtasongeza ng’ombe waume kumi, na kondoo waume wawili, na wana-kondoo waume wa mwaka wa kwanza wakamilifu kumi na wanne;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya ine mutatoa: ngombe dume kumi, kondoo dume wawili, wana-kondoo dume kumi na wane, wasiokuwa na kilema.