Numbers 29:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku ya tano, mtatoa fahali tisa, kondoo wawili, wanakondoo madume kumi na wanne wa mwaka mmoja wasio na dosari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Katika siku ya tano, andaeni mafahali tisa, kondoo dume wawili na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena siku ya tano mtasongeza ng'ombe waume kenda, na kondoo Waume wawili, na wana-kondoo waume wa mwaka wa kwanza wakamilifu kumi na wanne;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku ya tano, mtatoa fahali tisa, kondoo wawili, wanakondoo madume kumi na wanne wa mwaka mmoja wasio na dosari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Katika siku ya tano andaeni mafahali tisa, kondoo waume wawili na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Katika siku ya tano andaeni mafahali tisa, kondoo dume wawili na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena siku ya tano mtasongeza ng'ombe dume tisa, na kondoo dume wawili, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja wasio na dosari kumi na wanne;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siku ya tano, mtatoa fahali tisa, kondoo wawili, wanakondoo madume kumi na wanne wa mwaka mmoja wasio na dosari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya tano na mtoe madume tisa ya ng'ombe na madume mawili ya kondoo na wana kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja wasio na kilema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena siku ya tano mtasongeza ng’ombe waume kenda, na kondoo Waume wawili, na wana-kondoo waume wa mwaka wa kwanza wakamilifu kumi na wanne;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya tano, mutatoa ngombe dume tisa, kondoo wawili, wana-kondoo dume kumi na wane wa mwaka mumoja wasiokuwa na kilema.