Numbers 29:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtatoa pia sadaka yake ya nafaka ya unga safi uliochanganywa na mafuta: Kilo tatu kwa kila fahali, kilo mbili kwa kila kondoo dume,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pamoja na fahali, andaeni sadaka ya nafaka sehemu tatu za kumi ya efa ya unga laini uliochanganywa na mafuta; kwa kondoo dume, andaa unga sehemu mbili za kumi ya efa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
pamoja na sadaka yake ya unga, unga mwembamba uliochanganywa na mafuta, sehemu ya kumi tatu kwa ng'ombe, sehemu ya kumi mbili kwa kondoo mume,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtatoa pia sadaka yake ya nafaka ya unga safi uliochanganywa na mafuta: kilo tatu kwa kila fahali, kilo mbili kwa kila kondoo dume,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pamoja na fahali andaeni sadaka ya nafaka sehemu ya kumi tatu za efa za unga laini uliochanganywa na mafuta; kwa kondoo dume, andaa unga sehemu ya kumi mbili za efa;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pamoja na fahali, andaeni sadaka ya nafaka sehemu ya kumi tatu za efa za unga laini uliochanganywa na mafuta; kwa kondoo dume, andaa unga sehemu ya kumi mbili za efa;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
pamoja na sadaka yake ya unga, unga laini uliochanganywa na mafuta, sehemu ya tatu ya kumi ya ng'ombe, sehemu ya mbili ya kumi kwa kondoo dume,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtatoa pia sadaka yake ya nafaka ya unga safi uliochanganywa na mafuta: Kilo tatu kwa kila fahali, kilo mbili kwa kila kondoo dume,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vilaji vyao vya tambiko na viwe vibaba tisa vya unga mwembamba wa ngano uliochanganywa na mafuta vya dume la ng'ombe na vibaba sita vya dume la kondoo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
pamoja na sadaka yake ya unga, unga mwembamba uliochanganywa na mafuta, sehemu ya kumi tatu kwa ng’ombe, sehemu ya kumi mbili kwa kondoo mume,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutatoa vilevile sadaka yake ya vyakula ya unga safi uliochanganywa na mafuta: kilo tatu kwa kila ngombe dume, kilo mbili kwa kila kondoo dume,