Numbers 29:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtatoa sadaka ya kuteketezwa iliyo harufu nzuri inayompendeza Mwenyezi-Mungu: Fahali mmoja, kondoo dume mmoja, na wanakondoo madume saba wa mwaka mmoja wasio na dosari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Toeni sadaka ya kuteketezwa kama harufu nzuri inayompendeza Mwenyezi Mungu, sadaka ya kuteketezwa ya fahali mmoja, kondoo dume mmoja, na wana-kondoo dume saba wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini mtasongeza sadaka ya kuteketezwa, sadaka ya kusongezwa kwa moto, harufu ya kupendeza kwa Bwana; ng'ombe mume mmoja, na kondoo mume mmoja, na wana-kondoo waume wa mwaka wa kwanza wakamilifu saba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtatoa sadaka ya kuteketezwa iliyo harufu nzuri inayompendeza Mwenyezi-Mungu: fahali mmoja, kondoo dume mmoja, na wanakondoo madume saba wa mwaka mmoja wasio na dosari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Toeni sadaka ya kuteketezwa kama harufu nzuri inayompendeza BWANA, sadaka ya kuteketezwa ya fahali mmoja, kondoo dume mmoja, na wana-kondoo waume saba wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Toeni sadaka ya kuteketezwa kama harufu nzuri inayompendeza bwana, sadaka ya kuteketezwa ya fahali mmoja, kondoo dume mmoja, na wana-kondoo dume saba wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini mtasongeza sadaka ya kuteketezwa, sadaka ya kusongezwa kwa moto, harufu ya kupendeza kwa BWANA; ng'ombe dume mmoja, na kondoo dume mmoja, na wana-kondoo dume wa mwaka mmoja wasio na dosari saba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtatoa sadaka ya kuteketezwa iliyo harufu nzuri inayompendeza Mwenyezi-Mungu: Fahali mmoja, kondoo dume mmoja, na wanakondoo madume saba wa mwaka mmoja wasio na dosari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila mtoe ng'ombe za tambiko za kuteketezwa nzima, ziwe moto wenye mnuko wa kumpendeza Bwana: dume moja la ng'ombe na dume moja la kondoo na wana kondoo saba wa mwaka mmoja wasio na kilema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini mtasongeza sadaka ya kuteketezwa, sadaka ya kusongezwa kwa moto, harufu ya kupendeza kwa BWANA; ng’ombe mume mmoja, na kondoo mume mmoja, na wana-kondoo waume wa mwaka wa kwanza wakamilifu saba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutatoa sadaka ya kuteketezwa yenye harufu nzuri inayomupendeza Yawe: ngombe dume mumoja, kondoo dume mumoja, na wana-kondoo dume saba wa mwaka mumoja wasiokuwa na kilema.