Numbers 29:40 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose akawaambia Waisraeli kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akawaambia Waisraeli yale yote Mwenyezi Mungu alimwagiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Musa akawaambia wana wa Israeli vile vile kama hayo yote Bwana alivyomwagiza Musa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akawaambia Waisraeli yale yote BWANA aliyomwagiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akawaambia Waisraeli yale yote bwana alimwagiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Musa akawaambia wana wa Israeli vile vile kama hayo yote BWANA alivyomwagiza Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose akawaambia Waisraeli kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akawaambia wana wa Isiraeli haya yote, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Musa akawaambia wana wa Israeli vile vile kama hayo yote BWANA alivyomwagiza Musa.