Numbers 29:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena mtatoa beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi ili kuwafanyia upatanisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ongeza beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena mtatoa beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi ili kuwafanyia upatanisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ongeza beberu mmoja kama sadaka ya dhambi kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ongeza beberu mmoja kama sadaka ya dhambi kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena mtatoa beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi ili kuwafanyia upatanisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena na mtoe dume moja la mbuzi kuwa ng'ombe ya tambiko ya weuo kuwapatia ninyi upozi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena mutatoa beberu mumoja kuwa sadaka kwa ajili ya zambi kwa kuwafanyia upatanisho.