Numbers 3:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafuatao ndio wazawa wa Aroni na Mose wakati Mwenyezi-Mungu alipozungumza na Mose mlimani Sinai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo vizazi vya Haruni na Musa kwa wakati ambao Mwenyezi Mungu alizungumza na Musa katika Mlima Sinai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi vizazi vya Haruni na Musa, siku hiyo Bwana aliyosema na Musa katika mlima wa Sinai, ni hivi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafuatao ndio wazawa wa Aroni na Mose wakati Mwenyezi-Mungu alipozungumza na Mose mlimani Sinai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ni hesabu ya jamaa ya Aroni na Mose kwa wakati ule BWANA alipozungumza na Mose, katika Mlima Sinai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ni hesabu ya jamaa ya Haruni na Musa kwa wakati ambao bwana alizungumza na Musa katika Mlima Sinai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi vizazi vya Haruni na Musa, siku hiyo BWANA aliyosema na Musa katika mlima wa Sinai, ni hivi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafuatao ndio wazawa wa Aroni na Mose wakati Mwenyezi-Mungu alipozungumza na Mose mlimani Sinai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo vizazi vya Haroni na vya Mose vya siku zile, Bwana aliposema na Mose mlimani kwa Sinai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi vizazi vya Haruni na Musa, siku hiyo BWANA aliyosema na Musa katika mlima wa Sinai, ni hivi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa ndio wazao wa Haruni na Musa wakati Yawe alipozungumuza na Musa kwenye mulima Sinai.