Numbers 3:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utawateua Aroni na wanawe ili waweze kutekeleza huduma zao za ukuhani; lakini kama mtu yeyote mwingine atakaribia, atauawa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waweke Haruni na wanawe kuhudumu kama makuhani; mtu mwingine yeyote atakayesogea mahali patakatifu atauawa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utawaweka Haruni na wanawe, nao wataushika ukuhani wao, na mgeni atakayekaribia atauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utawateua Aroni na wanawe ili waweze kutekeleza huduma zao za ukuhani; lakini kama mtu yeyote mwingine atakaribia, atauawa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waweke Aroni na wanawe kuhudumu kama makuhani; mtu mwingine ye yote atakayesogelea mahali patakatifu ni lazima auawe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waweke Haruni na wanawe kuhudumu kama makuhani; mtu mwingine yeyote atakayesogea mahali patakatifu ni lazima auawe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utawaweka Haruni na wanawe, nao wataushika ukuhani wao, na mgeni atakayekaribia atauawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utawateua Aroni na wanawe ili waweze kutekeleza huduma zao za ukuhani; lakini kama mtu yeyote mwingine atakaribia, atauawa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao akina Haroni na wanawe uwaweke kuuangalia utambikaji wao. Lakini mgeni atakayejitia humo hana budi kuuawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utawaweka Haruni na wanawe, nao wataushika ukuhani wao, na mgeni atakayekaribia atauawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utachagua Haruni na wana wake kusudi waweze kutimiza kazi zao za ukuhani; lakini kama mutu yeyote mwingine akikaribia, atauawa.