Numbers 3:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose katika jangwa la Sinai,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akamwambia Musa katika Jangwa la Sinai,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Bwana akanena na Musa huko katika bara ya Sinai, na kumwambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose katika jangwa la Sinai,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akamwambia Mose katika Jangwa la Sinai,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akamwambia Musa katika Jangwa la Sinai,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha BWANA akanena na Musa huko katika jangwa la Sinai, na kumwambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose katika jangwa la Sinai,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia Mose nyikani kwa Sinai kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha BWANA akanena na Musa huko katika bara ya Sinai, na kumwambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamwambia Musa katika jangwa la Sinai: