Numbers 3:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni kwa kufuata familia zao: Libni na Shimei.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndio yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni: Libni na Shimei.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na majina ya wana wa Gershoni kwa jamaa zao ni Libni na Shimei.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni kwa kufuata familia zao: Libni na Shimei.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo yaliyokuwa majina ya koo za Wagerishoni: Libni na Shimei.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni: Libni na Shimei.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na majina ya wana wa Gershoni kwa jamaa zao ni Libni na Shimei.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni kwa kufuata familia zao: Libni na Shimei.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo haya ndiyo majina ya wanawe Gersoni wenye udugu wao: Libuni na Simei.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na majina ya wana wa Gershoni kwa jamaa zao ni Libni na Shimei.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na haya ndiyo majina ya wana wa Gersoni kwa kufuata jamaa zao: Libuni na Simei.