Numbers 3:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Familia za Walibni na Washimei zilitokana na Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa jamaa za Wagershoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulikuwa na koo za Walibni na Washimei kwa Gershoni; hizo zilikuwa koo za Wagershoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika Gershoni walikuwa jamaa ya Walibni, na jamaa ya Washimei, hawa ndio jamaa za Wagershoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Familia za Walibni na Washimei zilitokana na Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa jamaa za Wagershoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulikuwa na koo za Walibni na Washimei kwa Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wagerishoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulikuwa na koo za Walibni na Washimei kwa Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wagershoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika Gershoni walikuwa jamaa ya Walibni, na jamaa ya Washimei, hawa ndio jamaa za Wagershoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Familia za Walibni na Washimei zilitokana na Gershoni; hizi ndizo zilizokuwa jamaa za Wagershoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wa Gersoni walikuwa wao wa udugu wa Libuni nao wa udugu wa Simei; hawa ndio ndugu zao wa Gersoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika Gershoni walikuwa jamaa ya Walibni, na jamaa ya Washimei, hawa ndio jamaa za Wagershoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jamaa za Walibuni na Wasimei zilitokana na Gersoni; hizi ndizo zilizokuwa jamaa za Wagersoni.