Numbers 3:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Idadi yao kwa kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia waliokuwa na mwezi mmoja na zaidi ni 7,500.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Idadi ya wanaume wote wa umri wa mwezi mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa elfu saba na mia tano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya waume wote, tangu umri wa mwezi mmoja na zaidi, hao waliohesabiwa kwao walikuwa saba elfu na mia tano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Idadi yao kwa kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia waliokuwa na mwezi mmoja na zaidi ni 7,500.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Idadi ya waume wote waliokuwa na mwezi mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 7,500.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Idadi ya waume wote waliokuwa na mwezi mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 7,500.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya wanaume wote, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, hao waliohesabiwa kwao walikuwa elfu saba na mia tano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Idadi yao kwa kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia waliokuwa na mwezi mmoja na zaidi ni 7,500.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipohesabiwa waume wote wenye mwezi mmoja na zaidi jumla yao walikuwa watu 7500.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya waume wote, tangu umri wa mwezi mmoja na zaidi, hao waliohesabiwa kwao walikuwa saba elfu na mia tano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hesabu yao kwa kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia waliokuwa na mwezi mumoja na zaidi ni elfu saba na mia tano.