Numbers 3:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Familia za Wagershoni, iliwapasa kupiga kambi yao upande wa magharibi, nyuma ya hema takatifu
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukoo wa Wagershoni walitakiwa kuweka kambi zao upande wa magharibi, nyuma ya Maskani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jamaa za Wagershoni watapanga rago nyuma ya maskani, upande wa magharibi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Familia za Wagershoni, iliwapasa kupiga kambi yao upande wa magharibi, nyuma ya hema takatifu
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukoo wa Wagerishoni walitakiwa kuweka kambi zao upande wa magharibi, nyuma ya Maskani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukoo wa Wagershoni walitakiwa kuweka kambi zao upande wa magharibi, nyuma ya Maskani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jamaa za Wagershoni wapigavyo kambi nyuma ya maskani, upande wa magharibi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Familia za Wagershoni, iliwapasa kupiga kambi yao upande wa magharibi, nyuma ya hema takatifu
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa ndugu zao wa Gersoni wakaambiwa, wapige makambi nyuma ya Kao upande wa baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jamaa za Wagershoni watapanga rago nyuma ya maskani, upande wa magharibi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ilipasa kwa jamaa za Wagersoni kupiga kambi yao upande wa magaribi, nyuma ya hema takatifu