Numbers 3:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye Eliasafu mwana wa Laeli akiwa mkuu wa ukoo wa Wagershoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kiongozi wa jamaa za Wagershoni alikuwa Eliasafu mwana wa Laeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mkuu wa nyumba ya baba zao Wagershoni atakuwa Eliasafu mwana wa Laeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye Eliasafu mwana wa Laeli akiwa mkuu wa ukoo wa Wagershoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kiongozi wa jamaa za Wagerishoni alikuwa Eliasafu mwana wa Laeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kiongozi wa jamaa za Wagershoni alikuwa Eliasafu mwana wa Laeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mkuu wa nyumba ya baba zao Wagershoni atakuwa Eliasafu mwana wa Laeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye Eliasafu mwana wa Laeli akiwa mkuu wa ukoo wa Wagershoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mkuu wao wa mlango wa baba yao Gersoni awe Eliasafu, mwana wa Laeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mkuu wa nyumba ya baba zao Wagershoni atakuwa Eliasafu mwana wa Laeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
naye Eliasafu mwana wa Laeli akiwa mukubwa wa ukoo wa Wagersoni.