Numbers 3:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kazi ya wana wa Gershoni ilikuwa kulitunza hema takatifu, hema pamoja na kifuniko chake, pazia la mlango wa hema la mkutano,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika Hema la Kukutania, Wagershoni walikuwa na wajibu wa kutunza Maskani na hema, vifuniko vyake, pazia katika mlango wa kuingilia ndani ya Hema la Kukutania,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ulinzi wa Wagershoni katika hema ya kukutania ni hiyo maskani, na Hema, na kifuniko chake, na pazia la mlango wa hema ya kukutania,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kazi ya wana wa Gershoni ilikuwa kulitunza hema takatifu, hema pamoja na kifuniko chake, pazia la mlango wa hema la mkutano,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika Hema la Kukutania, Wagerishoni walikuwa na wajibu wa kutunza Maskani na hema, vifuniko vyake, pazia katika mlango wa kuingilia ndani ya Hema la Kukutania,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika Hema la Kukutania, Wagershoni walikuwa na wajibu wa kutunza Maskani na hema, vifuniko vyake, pazia katika mlango wa kuingilia ndani ya Hema la Kukutania,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kazi ya Wageruhoni katika hema ya kukutania ni hiyo ya kuhudumu katika maskani, Hema na kifuniko chake, na pazia la mlango wa hema ya kukutania,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kazi ya wana wa Gershoni ilikuwa kulitunza hema takatifu, hema pamoja na kifuniko chake, pazia la mlango wa hema la mkutano,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo kazi zao wana wa Gersoni za kuziangalia Hemani mwa Mkutano ziwe kuliangalia Kao lenyewe na Hema na chandalua chake na lile guo kubwa la pazia lililoko pa kuliingilia Hema la Mkutano,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ulinzi wa Wagershoni katika hema ya kukutania ni hiyo maskani, na Hema, na kifuniko chake, na pazia la mlango wa hema ya kukutania,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kazi ya wana wa Gersoni ilikuwa kutunza hema takatifu, hema pamoja na kifuniko chake, pazia la mulango wa hema la mukutano,