Numbers 3:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mapazia ya ua ulioko kati ya hema takatifu na madhabahu, na pazia la mlango wa ua, na kamba zake. Huduma zote zilizohusu vitu hivi zilikuwa zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mapazia ya ua, pazia katika ingilio la ua unaozunguka Maskani na madhabahu, pamoja na kamba, na kila kinachohusika kwa matumizi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuta za nguo za ua, na sitara ya mlango wa ua, iliyo karibu na maskani, na karibu na madhabahu pande zote, na kamba zake zitumiwazo kwa matumizi yake yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mapazia ya ua ulioko kati ya hema takatifu na madhabahu, na pazia la mlango wa ua, na kamba zake. Huduma zote zilizohusu vitu hivi zilikuwa zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mapazia ya ua unaozunguka Maskani na madhabahu, pamoja na kamba, na kila kinachohusika kwa matumizi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mapazia ya ua, pazia katika ingilio la ua unaozunguka Maskani na madhabahu, pamoja na kamba, na kila kinachohusika kwa matumizi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuta za nguo za ua, na sitara ya mlango wa ua, iliyo karibu na maskani, na karibu na madhabahu pande zote, na kamba zake zitumiwazo kwa matumizi yake yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mapazia ya ua ulioko kati ya hema takatifu na madhabahu, na pazia la mlango wa ua, na kamba zake. Huduma zote zilizohusu vitu hivi zilikuwa zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nazo nguo za uani na lile guo kubwa la pazia lililoko pa kuuingilia ua, unaolizunguka Kao na meza ya kutambikia, tena kamba zake nayo yote yanyoupasa utumishi huu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuta za nguo za ua, na sitara ya mlango wa ua, iliyo karibu na maskani, na karibu na madhabahu pande zote, na kamba zake zitumiwazo kwa matumizi yake yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mapazia ya upango unaokuwa kati ya hema takatifu na mazabahu, na pazia la mulango wa upango, na kamba zake. Kazi zote zilizoelekea vitu hivi zilikuwa zao.