Numbers 3:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Familia za Waamrami, Waishari, Wahebroni na Wauzieli zilitokana na Kohathi; hizi ndizo zilizokuwa jamaa za Wakohathi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa Kohathi kulikuwa koo za Waamrami, Waishari, Wahebroni na Wauzieli; hizo zilikuwa koo za Wakohathi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika Kohathi ni jamaa ya Waamrami, na jamaa ya Waishari, na jamaa ya Wahebroni, na jamaa ya hao Wauzieli; hizo ni jamaa za Wakohathi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Familia za Waamrami, Waishari, Wahebroni na Wauzieli zilitokana na Kohathi; hizi ndizo zilizokuwa jamaa za Wakohathi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa Kohathi kulikuwepo koo za Waamrami, Waishari, Wahebroni na Wauzieli; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wakohathi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa Kohathi kulikuwepo koo za Waamramu, Waishari, Wahebroni na Wauzieli; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wakohathi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika Kohathi ni jamaa ya Waamrami, na jamaa ya Waishari, na jamaa ya Wahebroni, na jamaa ya hao Wauzieli; hizo ni jamaa za Wakohathi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Familia za Waamrami, Waishari, Wahebroni na Wauzieli zilitokana na Kohathi; hizi ndizo zilizokuwa jamaa za Wakohathi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wa Kehati walikuwa wao wa udugu wa Amuramu nao wa udugu wa Isihari nao wa udugu wa Heburoni nao wa udugu wa Uzieli. Hawa ndio ndugu zao wa Kehati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika Kohathi ni jamaa ya Waamrami, na jamaa ya Waishari, na jamaa ya Wahebroni, na jamaa ya hao Wauzieli; hizo ni jamaa za Wakohathi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jamaa za Waamuramu, Waisari, Wahebroni na Wauzieli zilitokana na Kohati; hizi ndizo zilizokuwa jamaa za Wakohati.