Numbers 3:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi ilikuwa 8,600, waliohusika na huduma za mahali patakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hesabu ya wanaume wote wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walikuwa elfu nane na mia sita. Wakohathi waliwajibika kutunza mahali patakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama hesabu ya waume wote, tangu umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa elfu nane na mia sita, wenye kuulinda ulinzi wa mahali patakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi ilikuwa 8,600, waliohusika na huduma za mahali patakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hesabu ya wanaume wote wenye mwezi mmoja au zaidi ilikuwa watu 8,600. Wakohathi waliwajibika kutunza mahali patakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hesabu ya waume wote wenye mwezi mmoja au zaidi ilikuwa watu 8,600. Wakohathi waliwajibika kutunza mahali patakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama hesabu ya wanaume wote, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa elfu nane na mia sita, wenye kuhudumu katika mahali patakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi ilikuwa 8,600, waliohusika na huduma za mahali patakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipohesabiwa waume wote wenye mwezi mmoja na zaidi jumla yao walikuwa watu 8600 wa kuziangalia kazi za kupaangalia Patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama hesabu ya waume wote, tangu umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa elfu nane na mia sita, wenye kuulinda ulinzi wa mahali patakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mumoja na zaidi ilikuwa elfu nane na mia sita, waliotumika katika Pahali Patakatifu.