Numbers 3:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Familia za wana wa Kohathi zilitakiwa kupiga kambi yao upande wa kusini wa mahali patakatifu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Koo za Wakohathi zilitakiwa kuweka kambi zao upande wa kusini wa Maskani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jamaa za wana wa Kohathi watapanga rago upande wa kusini wa maskani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Familia za wana wa Kohathi zilitakiwa kupiga kambi yao upande wa kusini wa mahali patakatifu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Koo za Wakohathi zilitakiwa kuweka kambi zao upande wa kusini wa Maskani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Koo za Wakohathi zilitakiwa kuweka kambi zao upande wa kusini wa Maskani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jamaa za wana wa Kohathi watapiga kambi upande wa kusini wa maskani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Familia za wana wa Kohathi zilitakiwa kupiga kambi yao upande wa kusini wa mahali patakatifu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa ndugu zao wa Kehati wakaambiwa, wapige makambi upande wa kusini wa Kao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jamaa za wana wa Kohathi watapanga rago upande wa kusini wa maskani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jamaa za wana wa Kohati watapiga kambi yao upande wa kusini wa hema takatifu,