Numbers 3:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizi ndizo familia za Merari. Idadi yao kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi ilikuwa watu 6,200.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hesabu ya wanaume wote wenye umri wa mwaka mmoja au zaidi waliohesabiwa, walikuwa elfu sita na mia mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya waume wote, tangu umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa sita elfu na mia mbili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizi ndizo familia za Merari. Idadi yao kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi ilikuwa watu 6,200.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hesabu ya waume wote wenye umri wa mwaka mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 6,200.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hesabu ya waume wote wenye umri wa mwaka mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 6,200.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya wanaume wote, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa elfu sita na mia mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizi ndizo familia za Merari. Idadi yao kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi ilikuwa watu 6,200.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipohesabiwa waume wote wenye mwezi mmoja na zaidi jumla yao walikuwa watu 6200.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya waume wote, tangu umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa sita elfu na mia mbili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hizi ndizo jamaa za Merari. Hesabu yao kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mumoja na zaidi ilikuwa watu elfu sita na mia mbili.