Numbers 3:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao walipewa kazi ya kutunza mbao za hema takatifu, mataruma, nguzo, vitako na vifaa vyote vya kushikilia hema; huduma zote zilizohusu vitu hivi zilikuwa juu yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamerari waliwekwa kutunza miimo ya Maskani, mataruma yake, nguzo, vitako na vifaa vyake vyote na kila kitu kilichohusika na matumizi yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na usimamizi walioamriwa wana wa Merari ulikuwa ni kutunza mbao za maskani, na mataruma yake, na nguzo zake, na matako yake, na vyombo vyake vyote, na utumishi wake wote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao walipewa kazi ya kutunza mbao za hema takatifu, mataruma, nguzo, vitako na vifaa vyote vya kushikilia hema; huduma zote zilizohusu vitu hivi zilikuwa juu yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wamerari waliwekwa kutunza miimo ya Maskani, mataruma yake, nguzo, vitako na vifaa vyake vyote na kila kitu kilichohusika na matumizi yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wamerari waliwekwa kutunza miimo ya Maskani, mataruma yake, nguzo, vitako na vifaa vyake vyote na kila kitu kilichohusika na matumizi yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na usimamizi walioamriwa wana wa Merari ulikuwa ni kutunza mbao za maskani, na mataruma yake, na nguzo zake, na vitako vyake, na vyombo vyake vyote, na utumishi wake wote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao walipewa kazi ya kutunza mbao za hema takatifu, mataruma, nguzo, vitako na vifaa vyote vya kushikilia hema; huduma zote zilizohusu vitu hivi zilikuwa juu yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo kazi zao wana wa Merari za kuangalia walizopewa ziwe hizo za mbao za Kao na misunguo yao na nguzo zao na miguu yao na vyombo vyao vyote, wafanye kazi zote za utumishi ziwapasazo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na usimamizi walioamriwa wana wa Merari ulikuwa ni kutunza mbao za maskani, na mataruma yake, na nguzo zake, na matako yake, na vyombo vyake vyote, na utumishi wake wote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wao walipewa kazi ya kutunza mbao za hema takatifu, miti yake, nguzo, vitako na vifaa vyote vya kushikilia hema; kazi zote zilizoelekea vitu hivi zilikuwa juu yao.