Numbers 3:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia walihitajika kutunza nguzo za ua zilizouzunguka na vitako vyake, vigingi na kamba zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na pia nguzo za ua unaozunguka pamoja na vitako vyake, vigingi vya hema na kamba zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na nguzo za ua zilizouzunguka, na matako yake, na vigingi vyake, na kamba zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia walihitajika kutunza nguzo za ua zilizouzunguka na vitako vyake, vigingi na kamba zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na pia nguzo za ua unaozunguka pamoja na vitako vyake, vigingi vya hema na kamba zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na pia nguzo za ua unaozunguka pamoja na vitako vyake, vigingi vya hema na kamba zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na nguzo za ua zilizouzunguka, na vitako vyake, na vigingi vyake, na kamba zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia walihitajika kutunza nguzo za ua zilizouzunguka na vitako vyake, vigingi na kamba zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena kazi za kuziangalia nguzo zilizouzunguka ua na miguu yao na mambo zao na kamba zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na nguzo za ua zilizouzunguka, na matako yake, na vigingi vyake, na kamba zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vielvile walihitajika kutunza nguzo za upango zilizouzunguka na vitako vyake, misumari na kamba zake.