Numbers 3:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose akawahesabu wazaliwa wa kwanza wote wa watu wa Israeli kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Musa akawahesabu wazaliwa wa kwanza wote wa Waisraeli, kama Mwenyezi Mungu alivyomwamuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akahesabu, kama Bwana alivyomwagiza, wazaliwa wa kwanza wote katika wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose akawahesabu wazaliwa wa kwanza wote wa watu wa Israeli kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Mose akawahesabu wazaliwa wa kwanza wote wa Waisraeli, kama BWANA alivyomwamuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Musa akawahesabu wazaliwa wa kwanza wote wa Waisraeli, kama bwana alivyomwamuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akawahesabu, kama BWANA alivyomwagiza, wazaliwa wa kwanza wote katika wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose akawahesabu wazaliwa wa kwanza wote wa watu wa Israeli kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Mose alipowakagua wana wote wa kwanza wa Waisiraeli, kama Bwana alivyomwagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akahesabu, kama BWANA alivyomwagiza, wazaliwa wa kwanza wote katika wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa akawahesabu wazaliwa wa kwanza wote wa watu wa Israeli kama vile Yawe alivyomwamuru.