Numbers 3:43 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazaliwa wote wa kwanza wa kiume kadiri ya hesabu ya majina, kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi, kufuata walivyohesabiwa, walikuwa 22,273.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jumla ya hesabu ya wazaliwa wa kwanza wanaume wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walioorodheshwa kwa majina, walikuwa elfu ishirini na mbili na mia mbili na sabini na watatu (22,273).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazaliwa wa kwanza wote walio waume kwa hesabu ya majina, tangu umri wa mwezi mmoja na zaidi, katika hao waliohesabiwa kwao, walikuwa ishirini na mbili elfu na mia mbili na sabini na watatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazaliwa wote wa kwanza wa kiume kadiri ya hesabu ya majina, kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi, kufuata walivyohesabiwa, walikuwa 22,273.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jumla ya hesabu ya wazaliwa wa kwanza waume wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walioorodheshwa kwa majina walikuwa 22,273.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jumla ya hesabu ya wazaliwa wa kwanza waume wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walioorodheshwa kwa majina, walikuwa 22,273.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazaliwa wa kwanza wote walio wanaume kwa hesabu ya majina, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, katika hao waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu ishirini na mbili na mia mbili na sabini na watatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazaliwa wote wa kwanza wa kiume kadiri ya hesabu ya majina, kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi, kufuata walivyohesabiwa, walikuwa 22,273.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waume wote waliokuwa wana wa kwanza wenye mwezi mmoja na zaidi walipohesabiwa majina, jumla yao walikuwa watu 22273.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazaliwa wa kwanza wote walio waume kwa hesabu ya majina, tangu umri wa mwezi mmoja na zaidi, katika hao waliohesabiwa kwao, walikuwa ishirini na mbili elfu na mia mbili na sabini na watatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wazaliwa wa kwanza wanaume kadiri ya hesabu ya majina, kuanzia wenye umri wa mwezi mumoja na zaidi, kufuata jinsi walivyohesabiwa, walikuwa elfu makumi mbili na mbili mia mbili makumi saba na tatu.