Numbers 3:46 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa ajili ya fidia ya wazaliwa wa kwanza wa kiume wa watu wa Israeli 273, wanaozidi idadi ya wanaume Walawi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ili kukomboa wazaliwa wa kwanza mia mbili na sabini na watatu (273) wa Waisraeli ambao wamezidi hesabu ya Walawi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kwa kuwakomboa hao watu mia mbili na sabini na watatu, wa hao wazaliwa wa kwanza wa Israeli, ambao wamezidi ile hesabu ya Walawi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa ajili ya fidia ya wazaliwa wa kwanza wa kiume wa watu wa Israeli 273, wanaozidi idadi ya wanaume Walawi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ili kukomboa wazao wa kwanza 273 wa Waisraeli ambao wamezidi hesabu ya Walawi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ili kukomboa wazao wa kwanza 273 wa Waisraeli ambao wamezidi hesabu ya Walawi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kwa kuwakomboa hao watu mia mbili na sabini na watatu, wa hao wazaliwa wa kwanza wa Israeli, ambao wamezidi ile hesabu ya Walawi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa ajili ya fidia ya wazaliwa wa kwanza wa kiume wa watu wa Israeli 273, wanaozidi idadi ya wanaume Walawi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo makombozi yao wale 273 waliozidi kwa wana wa kwanza wa wana wa Isiraeli kuwa wengi kuliko Walawi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kwa kuwakomboa hao watu mia mbili na sabini na watatu, wa hao wazaliwa wa kwanza wa Israeli, ambao wamezidi ile hesabu ya Walawi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ajili ya malipo ya wazaliwa wa kwanza wanaume wa watu wa Israeli mia mbili makumi saba na watatu, wanaozidi hesabu ya wanaume Walawi,