Numbers 3:48 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na fedha hizo kwa ajili ya fidia ya hao waliozidi idadi yao utampa Aroni na wanawe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpe Haruni na wanawe hizo fedha kwa ajili ya ukombozi wa idadi ya Waisraeli waliozidi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hizo fedha ambazo waliosalia wamekombolewa kwazo utampa Haruni na wanawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na fedha hizo kwa ajili ya fidia ya hao waliozidi idadi yao utampa Aroni na wanawe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpe Aroni na wanawe hizo fedha kwa ajili ya ukombozi wa idadi ya Waisraeli waliozidi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpe Haruni na wanawe hizo fedha kwa ajili ya ukombozi wa idadi ya Waisraeli waliozidi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hizo fedha ambazo waliozidi wamekombolewa kwa hizo utampa Haruni na wanawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na fedha hizo kwa ajili ya fidia ya hao waliozidi idadi yao utampa Aroni na wanawe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi fedha mpe Haroni na wanawe kwa kuwa makombozi yao wale waliozidi kuwa wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hizo fedha ambazo waliosalia wamekombolewa kwazo utampa Haruni na wanawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na feza hizo kwa ajili ya malipo ya hao waliozidi hesabu yao utamupa Haruni na wana wake.