Numbers 3:49 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akatii, akachukua fedha hizo za fidia ya hao waliozidi idadi ya waliofidiwa na Walawi;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Musa akakusanya fedha za ukombozi kutoka kwa wale ambao hesabu yao ilizidi wale waliokombolewa na Walawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akawatoza fedha za ukombozi, hao waliozidi hesabu ya wale waliokombolewa na Walawi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akatii, akachukua fedha hizo za fidia ya hao waliozidi idadi ya waliofidiwa na Walawi;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Mose akakusanya fedha za ukombozi kutoka kwa wale ambao hesabu yao ilizidi wale waliokombolewa na Walawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Musa akakusanya fedha za ukombozi kutoka kwa wale ambao hesabu yao ilizidi wale waliokombolewa na Walawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akawatoza fedha za ukombozi, hao waliozidi hesabu ya wale waliokombolewa na Walawi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akatii, akachukua fedha hizo za fidia ya hao waliozidi idadi ya waliofidiwa na Walawi;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Mose alipowatoza fedha za makombozi wale waliozidi kuwa wengi kuliko wale waliokombolewa na Walawi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akawatoza fedha za ukombozi, hao waliozidi hesabu ya wale waliokombolewa na Walawi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akatii, akatwaa feza hizo za malipo ya hao waliozidi hesabu ya waliolipiwa na Walawi;