Numbers 3:50 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
alipokea kutoka wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli fedha kiasi cha shekeli 1,365, kulingana na kipimo cha mahali patakatifu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutokana na wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli alikusanya fedha yenye uzito wa shekeli elfu moja na mia tatu sitini na tano (1,365) kufuatana na shekeli ya mahali patakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akatwaa hizo fedha kwa wazaliwa wa kwanza wa wana wa Israeli; shekeli elfu moja na mia tatu na sitini na tano kwa shekeli ya mahali patakatifu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
alipokea kutoka wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli fedha kiasi cha shekeli 1,365, kulingana na kipimo cha mahali patakatifu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutokana na wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli alikusanya fedha yenye uzito wa shekeli 1,365 kufuatana na shekeli ya mahali patakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutokana na wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli alikusanya fedha yenye uzito wa shekeli 1,365 kufuatana na shekeli ya mahali patakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akatwaa hizo fedha kwa wazaliwa wa kwanza wa wana wa Israeli; shekeli elfu moja na mia tatu na sitini na tano kwa shekeli ya mahali patakatifu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
alipokea kutoka wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli fedha kiasi cha shekeli 1,365, kulingana na kipimo cha mahali patakatifu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo hizi fedha, alizozitoza za kuwakomboa wana wa kwanza wa wana wa Isiraeli, zikawa 1365, zikipimwa kwa fedha za Patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akatwaa hizo fedha kwa wazaliwa wa kwanza wa wana wa Israeli; shekeli elfu moja na mia tatu na sitini na tano kwa shekeli ya mahali patakatifu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akapokea kutoka wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli feza kiasi cha shekeli elfu moja mia tatu makumi sita na tano, kulingana na kipimo cha Pahali Patakatifu,